Vinjari wavuti
Chagua
Menyu
>
Tovuti
.
Angalia historia yako ya kuvinjari, tovuti zilizoangaziwa, au vialamisho vyako
Kubadilisha kati ya vichupo vya Historia, Iliy'sishwa, na Vipendwa, tembeza kushoto
au kulia.
Nenda kwenye wavuti
Andika anwani ya wavuti katika upau wa anwani.
Tafuta wavuti
Andika neno lako la utafutaji katika uga wa utafutaji. Ukiulizwa, chagua mtambo wako
badala wa utafutaji.
Rudi kwenye ukurasa wa wavuti uliotembelea awali
Chagua kichupo cha Historia, kisha chagua ukurasa wavuti.
Kidokezo: Unaweza kupakua programu za wavuti kutoka kwa Stoo ya Nokia. Wakati
unapofungua kwanza programu ya wavuti, huongezwa kama kialamisho. Kwa maelezo
zaidi, nenda kwa www.nokia.com/support.