Nokia C2 05 - Tosheza ukurasa wa wavuti kwa kionyesho cha simu yako

background image

Tosheza ukurasa wa wavuti kwa kionyesho cha simu yako
Kivinjari chako cha wavuti kinaweza kuboresha kurasa za wavuti kwa kionyesho cha

simu yako. badala ya kukuza ndani, ukurasa wavuti hupangwa katika safuwima moja

ya maandishi na picha kubwa zinazoweza kusomwa.

Chagua

Menyu

>

Tovuti

.

Chagua

Chaguo

>

Zana

>

Mwo. wa safuwima

.

Ili kwenda kwa haraka kwa sehemu tofauti za ukurasa wavuti, chagua kutoka kwa

ifuatayo:

/

Nenda kwa sehemu ya iliyopita au ifuatayo ya ukurasa wa wavuti.

Ingia kwenye ukurasa wa wavuti.

Chagua sehemu kuu ya ukurasa wa wavuti.

Tafuta ukurasa wa wavuti.

Soma vilishi vya RSS.

Chaguo zinazopatikana huenda zikatofautiana.

Mwonekano huu haupatikani kwa tovuti za wavuti zilizoundwa kwa utumizi wa rununu.