Nokia C2 05 - Ongeza kialamisho

background image

Ongeza kialamisho
Ukitembelea tovuti sawia kila wakati, ziongeze kama vialamisho, ili uweze kuzifikia

kwa haraka.

Chagua

Menyu

>

Tovuti

.

Vinjari wavuti

27

background image

Unapokuwa ukivinjari, chagua

Chaguo

>

Ongeza kwa vipendwa

.

Nenda kwenye wavuti iliyoalamishwa
Fungua kichupo cha Vipendwa, na uchague kialamisho.