Nokia C2 05 - Ondoa historia yako ya kuvinjari

background image

Ondoa historia yako ya kuvinjari
Chagua

Menyu

>

Tovuti

.

Fungua kichupo cha Historia, na uchague

Chaguo

>

Safisha historia

.

Futa kuki zilizohifadhiwa au maandishi yaliyohifadhiwa katika fomu za wavuti
Chagua

Chaguo

>

Zana

>

Mipangilio

>

Safisha kuki

au

Safisha jaza-oto

.