
Okoa gharama ya data
Je, unataka kuvinjari wavuti kwa bei nafuu? ikiwa una mpango wa data wa ada moja,
unaweza kupunguza ubora wa picha. Unaweza pia kufuatilia kiwango cha data
unachotumia.
Chagua
Menyu
>
Tovuti
.
Kivinjari chako cha wavuti hutumia ubora wa picha uliopunguzwa kimsingi. Kuongeza
ubora wa picha huenda kukasababisha gharama ya juu ya trafiki ya data.
Badilisha ubora wa picha
Chagua
Chaguo
>
Zana
>
Mipangilio
>
Ubora wa t'ira
na ubora wa picha unaohitajika.
Kagua kiwango cha data kilichopakuliwa au kupakiwa
Chagua
Chaguo
>
Zana
>
Utumizi wa data
.
28
Vinjari wavuti