Kuhusu kivinjari cha wavuti
Chagua
Menyu
>
Tovuti
.
Jifahamishe juu ya habari, na tembelea tovuti zako unazopendelea. Unaweza kutumia
Kivinjari cha wavuti ili kutazama kurasa za wavuti kwenye tovuti.
Kivinjari cha wavuti hufinyiza na kuboresha maudhui ya wavuti kwa ajili ya simu yako,
kwa hivyo unaweza kuvinjari wavuti kwa haraka zaidi na kuokoa gharama za data.
Ili kuvinjari wavuti, lazima uunganishwe kwenye tovuti.
Kwa upatikanaji wa huduma hizi na bei, wasiliana na mtoa huduma wako.
Unaweza kupokea vipimo vya uoanishaji vinavyotakikana kwa ajili ya uoanishaji kama
ujumbe wa usanidi kutoka kwa mtoa huduma.