Nokia C2 05 - Nakili yaliyomo kati ya simu yako na kompyuta

background image

Nakili yaliyomo kati ya simu yako na kompyuta
Unaweza kutumia kebo ya data ya USB kunakili picha zako na yaliyomo mengine kati

ya simu yako na kompyuta inayotangamana.

1 Tumia kebo ya data ya USB ili kuunganisha simu yako kwenye kompyuta.
2 Chagua kutoka kwa modi zinazofuata:

Nokia Suite — Nokia Suite imesakinishwa kwenye kompyuta yako.
Uhamishaji media — Nokia Suite imesakinishwa kwenye kompyuta yako. Kama

unataka kuunganisha simu yako kwa mfumo wa burudani wa nyumbani au printa,

tumia modi hii.
Hifadhi data — Nokia Suite imesakinishwa kwenye kompyuta yako. Simu yako

imeonyeshwa kama kifaa jongevu kwenye kompyuta yako. Hakikisha kadi ya

kumbukumbu imeingizwa. Ikiwa unataka kuunganisha simu yako kwenye vifaa

vingine, kama vile redio ya nyumbani au ya gari, tumia modi hii.

3 Kunakili yaliyomo, tumia kisimamia faili kwenye kompyuta.

Kunakili waasiliani wako, faili za muziki, video, au picha, tumia Nokia Suite.