Nokia C2 05 - Viashirio

background image

Viashirio

Una ujumbe ambao haujasomwa.

Una ujumbe ambao umeghairiwa, au ulioshindwa.

Vitufe vimefungwa.

Kifaa haitoi sauti kwa simu zinazoingia au ujumbe wa maandishi.

Kengele imewekwa.

au

Kifaa kimesajiliwa kwa mtandao wa GPRS au EGPRS.

au

Muunganisho wa GPRS au EGPRS uko wazi.

au

Muunganisho wa GPRS au EGPRS umesitishwa (inasubiri).

Bluetooth imeamilishwa.

Simu zote zinazoingia zinachepuliwa kwa nambari nyingine.

Simu zimezuiwa kwa kikundi cha kibinafsi.

Mfumo wa sasa unaotumika umewekwa muda.

Kifaa cha kichwa kimeunganishwa kwenye kifaa.

Kifaa kimeunganishwa kwenye kifaa kingine, kwa kutumia data kebo ya

USB.