
Tumia kifaa chako nje ya mtandao
Katik maeneo ambapo hauruhusiwi kupiga au kupokea simu, unaweza kuamilisha
mfumo wa angani na kucheza michezo au kusikiliza muziki.
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Mifumo
na
Angani
>
Amilisha
.
huashiria kwamba mfumo wa angani unatumika.
Tahadhari:
Wakati mfumo wa angani umeamilishwa, huwezi kupiga au kupokea simu zozote,
pamoja na simu za dharura, au kutumia vitendaji vingine ambavyo vinahitaji kuwepo
kwa mtandao. Kupiga simu, amilisha mfumo mwingine.