
Nakili wawasiliani au picha kutoka kwenye simu yako ya zamani
Unataka kunakili maudhui yako kutoka kwenye kifaa chako cha zamani cha Nokia na
uanze kutumia simu yako mpya haraka? Unaweza kunakili, kwa mfano, waasiliani,
viingizo vya kalenda, na picha kwenye simu yako mpya, bure bila malipo.
1 Amilisha Bluetooth katika simu zote.
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Uunganikaji
>
Bluetooth
.
2 Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Uoa. nak. dh'ra
.
3 Chagua
Swichi ya simu
>
Nakili kwa hii
.
4 Chagua yaliyomo ili kunakili na
Tayari
.
5 Chagua simu yako ya awali kutoka kwenye orodha.
12
Utumizi wa kawaida

6 Kama simu ile nyngine inahitaji msimbo wa kibali, ingiza msimbo wa kibali. Msimbo
wa kibali, ambao unaweza kufasili mwenyewe, lazima uingizwe katika simu zote.
Msimbo wa kibali katika simu zingine huwa zimewekwa. Kwa maelezo zaidi, angalia
mwongozo wa simu ile nyingine.
Msimbo wa kibali ni halali tu kwa muunganisho wa sasa.
7 Ukiulizwa, ruhusu muunganisho na maombi ya kunakili.