Nokia C2 05 - Funga vitufe

background image

Funga vitufe
Ili kuepuka kupiga simu kwa makosa wakati simu yako kiko kwenye mfuko au begi

lako, funga vitufe.

Funga slaidi, na uchague

Funga

.

Fungua vitufe
Ikiwa kitelezi kimefungwa, fungua kitelezi, au chagua

Fungua

>

Sawa

.

Ikiwa kitelezi kimefunguliwa, chagua

Fungua

, na ubonyeze *.

Seti vitufe kufunga kiotomati

1 Chagua

Menyu

>

Mipangilio

na

Kifaa

>

Kilinda vit. kijiweke

>

Washa

.

Utumizi wa kawaida

11

background image

2 Fasili urefu wa muda ambao vitufe vitajifunga kiotomati.