Nokia C2 05 - Badili sauti ya simu, wimbo, au video

background image

Badili sauti ya simu, wimbo, au video
Tembeza juu au chini.

Spika yoyote iliyojengewa ndani hukuruhusu kuongea na kusikiliza kutoka kwa umbali

mfupi bila kushikilia kifaa kwenye sikio lako.

Amilisha kipasa sauti wakati wa simu
Chagua

Kip. sauti

.