Nokia C2 05 - Tuma ujumbe

background image

Tuma ujumbe
Wasiliana na familia yako na marafiki na ujumbe wa maandishi na medianuwai.

Unaweza kuambatisha picha zako, video, na kadi za biashara kwenye ujumbe wako.

Chagua

Menyu

>

Kutuma ujumbe

.

1 Chagua

Unda ujumbe

.

2 Andika ujumbe wako.
3 Kuongeza kiambatisho, chagua

Chaguzi

>

Ingiza kiumbile

.

4 Chagua

Tu'a kwa

.

5 Kuongeza namba ya simu au anwani ya barua kwa mikono, chagua

Na. au bar.

pepe

. Ingiza nambari ya simu, au chagua

Barua

, na uingize anwani ya barua pepe.

Kuchagua mpokeaji au kikundi cha wawasiliani, chagua

Majina

au

Vik vya

ma'iano

.

6 Chagua

Tuma

.

Kidokezo: Kuingiza kibambo maalum au kicheshi, chagua

Chaguzi

>

Ingiza alama

.

Kutuma ujumbe na kiambatisho huenda ikagharimu zaidi kuliko kutuma ujumbe wa

kawaida wa maandishi. Kwa taarifa zaidi, wasiliana na mtoa huduma wako.

Unaweza kutuma ujumbe wa maandishi ambayo ni refu zaidi ya kizuizi cha vibambo

kwa ujumbe mmoja. Ujumbe mrefu zaidi utatumwa kama ujumbe wa pili au zaidi. Mtoa

huduma wako anaweza kudai malipo kadri inavyotakiwa.

Herufi au alama ambazo zina lafudhi, alama zingine, au chaguo zingine za lugha

huchukua nafasi kubwa zaidi, hivyo kupunguza idadi ya herufi zinazoweza kutumwa

kwenye ujumbe mmoja.

Kama kipengee ulichoingiza katika ujumbe wa medianuwai ni kikubwa sana kwa

mtandao, huenda kifaa kikapunguza saizi kiotomati.

Vifaa vinavyoendana tu ndivyo vinaweza kupokea na kuonyesha ujumbe wa

medianuwai. Huenda ujumbe ukaonekana tofauti katika vifaa tofauti.