
Tuma ujumbe wa sauti
Una wakati wa kuandika ujumbe wa maandishi? Rekodi na tuma ujumbe sikizi badala
yake!
Chagua
Menyu
>
Kutuma ujumbe
.
1 Chagua
Zaidi
>
Ujumbe mw'ine
>
Ujumbe usikikao
.
2 Ili kurekodi ujumbe wako, chagua .
3 Kukomesha kurekodi, chagua .
4 Chagua
Tu'a kwa
na jina.
Ukubwa wa ujumbe lazima uwe chini ya kilobaiti 300.
Kagua ukubwa wa ujumbe
Baada ya kuandika ujumbe wa medianuwai au sauti, chagua
Chaguzi
>
Angalia
kabla
>
Chaguzi
>
Onyesha vilivyomo
. Maelezo ya sehemu za ujumbe huonyeshwa.