Nokia C2 05 - Sikiliza ujumbe wa sauti

background image

Sikiliza ujumbe wa sauti
Wakati huwezi kujibu, unaweza kuchepua simu zako hadi kwenye kisanduku chako cha

barua cha sauti na usikilize ujumbe wako baadaye.

Huenda ukahitaji kujiunga na kisandu cha barua ya sauti. Kwa maelezo zaidi juu ya

huduma hii ya mtandao, wasiliana na mtoa huduma wako.

Utumaji ujumbe

17

background image

1 Chagua

Menyu

>

Kutuma ujumbe

>

Zaidi

>

Ujumb. wa sauti

na

Nam. kasha la

sauti

.

2 Ingiza nambari yako ya kisanduku cha barua, na chagua

Sawa

.

3 Kupiga simu kwa kisanduku chako cha barua ya sauti, kwenye skrini kaya, bonyeza

na ushikilie 1.