Nokia C2 05 - ZIMA KATIKA MAENEO YALIYOKATAZWA

background image

ZIMA KATIKA MAENEO YALIYOKATAZWA

Usiwashe kifaa wakati matumizi ya simu zisizo na waya yamekatazwa au

wakati kinaweza kusababisha mwingiliano au hatari, kwa mfano, ndani ya

ndege au hospitalini, au karibu na vifaa vya matiba, mafuta, kemikali, au

maeneo yenye mlipuko. Tii maagizo yote katika maeneo yaliyozuiwa.