ZIMA KATIKA MAENEO YALIYOKATAZWA
Usiwashe kifaa wakati matumizi ya simu zisizo na waya yamekatazwa au
wakati kinaweza kusababisha mwingiliano au hatari, kwa mfano, ndani ya
ndege au hospitalini, au karibu na vifaa vya matiba, mafuta, kemikali, au
maeneo yenye mlipuko. Tii maagizo yote katika maeneo yaliyozuiwa.