Nokia C2 05 - USALAMA BARABARANI HUJA KWANZA

background image

USALAMA BARABARANI HUJA KWANZA

Tii sheria zote za mahali ulipo. Daima iache mikono yako iwe huru

kuendesha gari. Kitu cha kuzingatia kwanza unapoendesha gari unapaswa

kuwa usalama barabarani.