Nokia C2 05 - Piga simu

background image

Piga simu
1 Fungua slaidi.
2 Kwenye skrini kaya, charaza namba ya simu.

Kufuta nambari, chagua

Futa

.

Ili kucharaza kibambo cha +, kinachotumiwa kwa simu za kimataifa, bonyeza *

mara mbili.

3 Bonyeza kitufe cha mwito.
4 Ili kukata simu, bonyeza kitufe cha kukata simu.

Simu

13