Nokia C2 05 - Ita nambari ya mwisho iliyopigwa

background image

Ita nambari ya mwisho iliyopigwa
Unajaribu kuita mtu, lakini hajibu? Ni rahisi kuwaita tena.

Katika skrini kaya, bonyeza kitufe cha mwito, chagua nambari kutoka kwenye orodha,

na bonyeza kitufe cha mwito tena.