
Angalia simu zako zisizojibiwa
Unataka kuona ni nani aliyepiga simu uliyokosa?
Kwenye skrini kaya, chagua
Angalia
. Jina la mpigaji simu limeonyeshwa, kama
limehifadhiwa kwenye orodha ya wawasiliani.
Simu zisizojibiwa na zilizopokewa huandikwa tu kama inakubaliwa na mtandao, na
simu imewashwa na katika aneo la huduma ya mtandao.
Pigia simu mwasiliani au nambari
Nenda kwa mwasiliani au nambari, na ubonyeze kitufe cha mwito.
Angalia simu zisizojibiwa baadaye
Chagua
Menyu
>