Nokia C2 05 - Saa ya kengele

background image

Saa ya kengele
Unaweza kuseti kengele itoe mlio wakati uupendao.

Seti kengele

1 Chagua

Menyu

>

Pro.-tumizi

>

Saa ya kengele

.

2 Kuamilisha kengele, biringiza kushoto au kulia.

Saa

21

background image

3 Ingiza saa ya kengele.
4 Kurudia kengele kwenye siku zilizochaguliwa za wiki, nenda kwa

Rudia

, na

utembeze kushoto au kulia.

5 Ili uchague toni ya kengele, nenda kwa

Toni ya kengele

, na utembeze kushoto au

kulia. Ukichagua redio kama toni ya kengele, unganisha kifaa cha kichwa kwenye

simu.

6 Ili kuweka urefu wa muda wa kipindi cha kusinzia, nenda kwa

Mu. wa kus'a

kuisha

, na uingize muda unaotaka.

7 Chagua

Hifadhi

.

Simamisha kengele
Chagua

Sima'sha

. Ukiacha kengele iendelee kwa dakika nzima, au ukichagua

Sinzia

,

kengele huacha kwa muda uliopangwa halafu huanza tena.