
Badilisha saa na tarehe
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
na
Tarehe na muda
.
Badilisha ukanda wa saa wakati wa kusafiri
1 Chagua
Mip. tarehe & muda
>
Zoni ya muda:
.
2 Kuchagua ukanda wa saa wa eneo lako, tembeza kushoto au kulia.
3 Chagua
Hifadhi
.
Saa na tarehe husetiwa kulingana na ukanda wa saa. Hii huhakikisha kwamba simu
yako huonyesha muda sahihi wa kutuma wa maandishi au ujumbe wa medianuwai
uliopokewa.
Kwa mfano, GMT-5 inamaanisha zoni ya New York (USA), masaa 5 magharibi ya
Greenwich, London (UK).