
Tuma picha au video
Unataka kugawiza picha na video yako na marafiki na familia? Tuma ujumbe wa
medianuwai au tuma picha kwa kutumia Bluetooth.
Chagua
Menyu
>
Picha
.
Tuma picha
1 Chagua folda yenye picha.
2 Chagua picha ili kutuma.
Kutuma zaidi ya picha moja, chagua
Chaguzi
>
Weka alama
na uweke alama picha
unazotaka.
3 Chagua
Chaguzi
>
Tuma
au
Tuma vyenye alama
na mbinu ya utumaji unayotaka.
Tuma video
1 Chagua folda yenye video.
2 Chagua
Chaguzi
>
Weka alama
, na tia alama video. Unaweza kutia alama video
kadhaa ili kutuma.
3 Chagua
Chaguzi
>
Tuma vyenye alama
na mbinu ya utumaji unayotaka.
30
Picha na video