
Rekodi video
Kando na kupiga picha na simu yako, unaweza pia kunasa nyakati zako maalum kama
video.
Chagua
Menyu
>
Picha
>
Kamera ya video
.
1 Kubadili kutoka modi ya taswira hadi modi ya video, ikiwezekana, chagua
Chaguzi
>
Kamera ya video
.
2 Kuanza kurekodi, chagua
Rekodi
.
Kupanua na kupunguza, tembeza juu au chini.
3 Kukomesha kurekodi, chagua
Sima'sha
.
Video zimehifadhiwa kwenye
Menyu
>
Picha
>
Video zangu
.
Funga kamera
Bonyeza kitufe cha kukata.