Nokia C2 05 - Piga picha

background image

Piga picha
1 Chagua

Menyu

>

Picha

>

Kamera

.

2 Kupanua na kupunguza, tembeza juu au chini.

Huduma za Nokia

29

background image

3 Chagua

Nasa

.

Picha zimehifadhiwa kwenye

Menyu

>

Picha

>

Picha zangu

.

Funga kamera
Bonyeza kitufe cha kukatisha.