
Sasisha programu ya simu yako kwa kutumia simu yako
Unataka kuboresha utendakazi wa simu yako na kupata visasishi vya programu tumizi
na nduni mpya nzuri? Sasisha programu mara kwa mara ili kupata mengi kutoka
kwenye simu yako. Unaweza kuseti simu yako kukagua kiotomati visasisho.
Pata msaada
31

Tahadhari:
Ukiingiza kisasishaji cha maunzi laini, huwezi kutumia kifaa hicho, hata kupiga simu
za dharura, mpaka usasishaji ukamilike na kifaa kiwashwe upya.
Kutumia huduma hiyo au kupakua yaliyomo huenda yakasababisha uhamishaji wa
viwango vikubwa vya data, ambayo inaweza kusababisha gharama ya trafiki ya data.
Kabla ya kuanzisha kusasisha, unganisha chaja au hakikisha betri ya kifaa ina nishati
ya kutosha.
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
.
1 Chagua
Kifaa
>
Visasisho vya kifaa
.
2 Ili kuonyesha toleo la sasa la programu, chagua
Maele. pro. ya sasa
.
3 Kupakua na kusanidi kisasisho cha programu, chagua
Pakua progra. kifaa
. Fuata
maagizo yaliyoonyeshwa.
4 Kama usanidi ulikatishwa baada ya upakuaji, chagua
Sak. kis. ch. prog'u
.
Kisasisho cha programu huenda kikachukua dakika kadhaa. Kama kuna matatizo na
usakinishaji, wasiliana na mtoa huduma wako.
Kagua visasisho vya programu kiotomati
Chagua
Usas. prog. y'yewe
, na ufasili ni mara ngapi itakagua visasisho vya programu
mpya.
32
Pata msaada

Mtoa huduma wa mtandao wako anaweza kutuma visasisho vya programu ya simu
kupitia mawimbi moja wa moja kwa simu yako. Kwa maelezo zaidi juu ya huduma hii
ya mtandao, wasiliana na mtoa huduma wa mtandao wako.