Rejesha mipangilio halisi
Ikiwa simu uako haifanyi kazi vyema, unaweza seti upya baadhi ya mipangilio katika
viwango vyao halisi.
1 Tamatisha simu na miunganisho yote.
2 Chagua
Menyu
>
Mipangilio
na
Rej. mi. ya k'ani
>
Mipangilio tu
.
3 Ingiza msimbo wa usalama.
Hii haiathiri hati au mafaili yaliyohifadhiwa kwenye simu yako.
Baada ya kurudisha mipangilio, simu yako huzima na kuwaka tena. Hii huenda
ikachukua muda mrefu usio wa kawaida.