
Panga mafaili
Unaweza kusogeza, kunakili, na kufuta faili na folda, au unda faili mpya katika
kumbukumbu ya simu yako au kwenye kadi ya kumbukumbu. Ukipanga mafaili yako
kwenye folda zao, huenda ikakusaidia kupata mafaili baadaye.
Chagua
Menyu
>
Pro.-tumizi
>
Matunzio
.
Unda folda mpya
Katika folda ambapo unataka kuunda folda ndogo, chagua
Chaguzi
>
Ongeza folda
.
Nakili au sogeza jalada kwenye folda
Tembeza kwa faili, chagua
Chaguzi
>
Nakili
au
Hamisha
, na uchague folda lengwa.
Kidokezo: Unaweza kucheza pia muziki au video, au kuona picha katika Matunzio.