Nokia C2 05 - Cheleza picha zako na maudhui mengine kwenye kadi ya kumbukumbu

background image

Cheleza picha zako na maudhui mengine kwenye kadi ya kumbukumbu
Je! unataka kuhakikisha hutapoteza mafaili muhimu? Unaweza kucheleza

kumbukumbu ya simu yako kwa kadi ya kumbukumbu inayoingiana.

Chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Uoa. nak. dh'ra

.

Chagua

Un. naka. dha'ra

.

Rudisha chelezo
Chagua

Ru. naka. dhar'a

.

Pata msaada

33