
Cheleza picha zako na maudhui mengine kwenye kadi ya kumbukumbu
Je! unataka kuhakikisha hutapoteza mafaili muhimu? Unaweza kucheleza
kumbukumbu ya simu yako kwa kadi ya kumbukumbu inayoingiana.
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
>
Uoa. nak. dh'ra
.
Chagua
Un. naka. dha'ra
.
Rudisha chelezo
Chagua
Ru. naka. dhar'a
.
Pata msaada
33