Nokia C2 05 - Vidokezo na Matoleo

background image

Vidokezo na Matoleo
Ili kukusaidia kunufaika kabisa na simu yako na huduma, utapokea ujumbe maalum

wa maandishi bila malipo kutoka Nokia. Ujumbe utakuwa na vidokezo na mbinu na

usaidizi.

Kuzuia upokeaji wa risala, chagu

Menyu

>

Pro.-tumizi

>

Prog'mu zangu

>

Vidok. na

matoleo

.

Ili kutoa huduma iliyofafanuliwa hapa juu, nambari yako ya simu ya rununu, nambari

tambulishi ya simu yako, na vitambuaji vingine vya usajili wa rununu hutumwa kwa

Nokia wakati unapotumia simu kwa mara ya kwanza. Baadhi au maelezo yote huenda

pia yakatumwa kwa Nokia wakati unasasisha programu. Huenda maelezo haya

yakatumiwa kama ilivyobainishwa katika sera ya usiri, inayopatikana katika

www.nokia.com.