Msaada
Wakati unataka kujifunza mengi kuhusu jinsi ya kutumia bidhaa yako au huna uhakika
jinsi simu yako inapaswa kufanya kazi, soma kiongozi cha mtumiaji kabisa.
Kama hii haitatatua suala lako, fanya moja katiya zifuatazo:
•
Washa upya simu yako. Zima simu, na uondoe betri. Baada ya kama dakika moja,
badilisha betri, na uwashe simu.
•
Sasisha programu ya simu yako
•
Rejesha mipangilio halisi ya kiwanda
Kama suala lako bado halijatatuliwa, wasiliana na Nokia kwa chaguo za ukarabati.
Nenda kwa www.nokia.com/repair. Kabla ya kutuma simu yako kukarabitiwa, kila mara
cheleza data yako.