Nokia C2 05 - Washa au uzime simu

background image

Washa au uzime simu
Bonyeza na shikilia kitufe cha nishati

.

Huenda ukaulizwa kupata mipangilio ya usabidi kutoka kwa mtoa huduma wa mtandao

wako. Kwa maelezo zaidi juu ya huduma hii ya mtandao, wasiliana na mtoa huduma

wa mtandao wako.

Namna ya kuanza

9