
Vitufe na sehemu
1 Kifaa cha sikioni
2 Kizinza
3 Vitufe vya uchaguzi
4 Kitufe cha mwito
5 Vitufe
6 Kitufe cha Navi™ (kitufe cha kutembeza)
7 Kitufe cha Kukata simu/Nishati
8 Kiunganishi cha Nokia AV (3.5 mm)
9 Kiunganisha USB ndogo
10 Kiunganisha chaja
11 Shimo la kamba ya kiwiko
12 Maikrofoni
Namna ya kuanza
5

13 Lenzi ya kamera
14 Kipaza sauti