
Chaji betri
Betri yako imechajiwa haswa katika kiwanda, lakini huenda ukahitaji kuichaji kabla ya
kuiwasha kwenye simu yako mara ya kwanza.
Ikiwa simu itaashiria chaji ndogo, fanya ifuatavyo:
8
Namna ya kuanza

1 Unganisha chaja kwenye unganisho la ukutani la umeme.
2 Unganisha chaja kwenye simu.
3 Wakati simu itaashiria kimechajiwa kabisa, tenganisha chaja kutoka kwa simu,
kisha kutoka kwa umeme.
Hauhitaji kuchaji betri kwa muda mahususi maalum, na unaweza kutumia simu
inapokuwa ikichaji. Wakati wa kuchaji, huenda simu ikahisi ina joto.
Kama betri imeishiwa chaji kabisa, inaweza kuchukua dakika kadhaa kabla kiashirio
cha kuchaji kuonyeshwa au kabla simu zozote kuweza kupigwa.
Ikiwa betri imetumiwa kwa mara ya kwanza kwa muda mrefu, kuanza kuchaji, huenda
ukahitaji kuunganisha chaja, halafu kata muunganisho na kuinganisha tena.
Kuchaji simu wakati unasikiliza redio kunaweza kuathiri ubora wa upokezi.