Antena ya GSM
Eneo la antena limeangaziwa.
Jiepushe kugusa eneo la antena bila sababu wakati antena inatumika. Ugusaji antena
huathiri ubora wa mawasiliano na unaweza kupunguza maisha ya betri kwa sababu ya
kiwango cha juu zaidi cha nishati wakati wa utendaji kazi.