Nokia C2 05 - Sikiza redio

background image

Sikiza redio
Unganisha kifaa cha kichwa kinachotangamana kwenye simu yako. Kifaa cha kichwa

hufanya kazi kama antena.

Chagua

Menyu

>

Muziki

>

Redio

.

Badilisha sauti
Tembeza juu au chini.

Funga redio
Bonyeza kitufe cha kukata simu.

24

Muziki na sikizi

background image

Weka redio ili icheze katika usuli
Chagua

Chaguzi

>

Chezesha katka usuli

.

Funga redio wakati inacheza katika usuli
Bonyeza na ushikilie kitufe cha kukata.