Pata na uhifadhi idhaa za redio
Tafuta idhaa zako vipendwa za redio, na uzihifadhi, ili uweze kuzisikiliza baadaye kwa
urahisi.
Chagua
Menyu
>
Muziki
>
Redio
.
Tafuta idhaa ifuatayo inayopatikana
Bonyeza na ushikilie kitufe cha kutembeza kushoto au kulia.
Hifadhi idhaa
Chagua
Chaguzi
>
Hifadhi idhaa
.
Tafuta kiotomati idhaa za redio
Chagua
Chaguzi
>
Tafuta stesheni zote
. Kwa matokeo bora tafuta wakati uko nje au
karibu na dirisha.
Badili kwa idhaa iliyohifadhiwa
Tembeza kushoto au kulia.
Badili idhaa
1 Chagua
Chaguzi
>
Idhaa
.
2 Chagua idhaa na
Chaguzi
>
Badili jina
.
Kidokezo: Kufikia idhaa moja kwa moja toka kwa orodha ya idhaa iliyohifadhiwa,
bonyeza kitufe cha namba ambacho kinalingana na namba ya idhaa.