
Kuhusu redio ya FM
Chagua
Menyu
>
Muziki
>
Redio
.
Unaweza kusikiliza idhaa za redio ya FM kwa kutumia kifaa chako - chopeka katika
kifaa cha kichwa, na uchague idhaa!
Kusikiliza redio, unahitaji kuungnaisha Kifaa kinachoendana cha kuvaa kichwani
kwenye kifaa. Kifaa cha kichwa hufanya kazi kama antena.
Haiwezekani kusikiliza redio kupitia kifaa cha kichwa cha Bluetooth.