Nokia C2 05 - Unganisha vipasa sauti kwenye simu yako

background image

Unganisha vipasa sauti kwenye simu yako
Sikiliza muziki kwenye simu yako kupitia vipasa sauti vinavyotangamana (inapatikana

kando).

Fanya maktaba yako ya muziki ibebesheke na usikilize nyimbo zako vipendwa bila

kebo. Ukiwa na teknolojia ya Bluetooth isiyotumia waya, unaweza kutiririsha muziki

kutoka kwa simu ambapo imehifadhiwa kwenye kifaa ambapo inachezwa.

Usiunganishe bidhaa ambazo zinaunda ishara ya kutoa, kwa kuwa hii inaweza kuharibu

kifaa. Usiunganishe chanzo chochote cha stima kwa Kiunganisha Nokia AV.

Ukiunganisha kifaa chochote cha nje au kifaa chochote cha kichwa kwa Kiunganisha

Nokia AV, kando na zile zilizoidhinishwa na Nokia kwa kutumiwa na kifaa hiki, kuwa

makini sana na viwango vya sauti.

Unganisha kipasa sauti chenye waya
Unganisha vipasa sauti kwenye kiunganisha AV cha mm 3.5 katika simu yako.

Muziki na sikizi

23

background image

Unganisha vipasa sauti vya Bluetooth

1 Chagua

Menyu

>

Mipangilio

>

Uunganikaji

>

Bluetooth

na

Washa

.

2 Washa vipasa sauti.
3 Kulinganisha simu yako na vipasa sauti, chagua

Ung'ha vi. zia. sa'ti

.

4 Chagua vipasa sauti.
5 Huenda ukahitaji kuingiza msimbo wa kibali. Kwa maelezo zaidi, angalia

mwongozo wa mtumiaji wa vipaza sauti.