
Cheza wimbo
Cheza muziki uliohifadhiwa kwenye kumbukumbu ya simu au kwenye kadi ya
kumbukumbu.
Chagua
Menyu
>
Muziki
>
Muziki wangu
na
Nyimbo zote
.
1 Chagua wimbo.
2 Chagua
Cheza
.
3 Kusitisha au kuendelea kucheza, bonyeza kitufe cha kutembeza.
Ruka hadi mwanzoni mwa wimbo wa sasa
Tembeza kushoto.
Ruka hadi kwa wimbo uliopita
Tembeza kushoto mara mbili.
Ruka kwa wimbo ufuatao
Tembeza kulia.
Peleka mbele haraka au rudisha nyuma haraka
Bonyeza na ushikilie kitufe cha kutembeza kuelekea kulia au kushoto.
Nyamazisha au wezesha sauti kicheza muziki
Bonyeza #.
22
Muziki na sikizi

Funga kicheza muziki
Bonyeza kitufe cha kukata.
Seti kicheza muziki ili icheze katika usuli
Chagua
Chaguzi
>
Chezesha katka usuli
.
Funga kicheza muziki wakati kinacheza katika usuli
Bonyeza na ushikilie kitufe cha kukata.