Nokia C2 05 - Cheza video

background image

Cheza video
Cheza video zilizohifadhiwa kwenye kumbukumbu ya simu au kwenye kadi ya

kumbukumbu.

Chagua

Menyu

>

Muziki

>

Muziki wangu

na

Video

.

1 Chagua video.
2 Chagua

Cheza

.

3 Kusitisha au kuendelea kucheza, bonyeza kitufe cha kutembeza.

Peleka mbele haraka au rudisha nyuma haraka
Bonyeza na ushikilie kitufe cha kutembeza kuelekea kulia au kushoto.

Funga kicheza media
Bonyeza kitufe cha kukata.