Tumia upigaji haraka
Unaweza kuwaita marafiki na familia yako kwa haraka wakati unapopangia nambari
zako za simu zinazotumiwa sana kwenye vitufe vya nambari vya simu yako.
Chagua
Menyu
>
Majina
>
Zaidi
>
Viita haraka
.
Pangia nambari ya simu kwenye kitufe cha nambari
1 Nenda kwa kitufe cha nambari, na uchague
Pangia
. 1 imehifadhiwa kwa kisanduku
cha barua cha sauti.
14
Majina
2 Ingiza namba au tafuta jina.
Ondoa au badilisha nambari ya simu iliyopangiwa kwenye kitufe cha nambari
Nenda kwa kitufe cha nambari, na uchague
Chaguzi
>
Futa
au
Badili
.
Piga simu
Kwenye skrini kaya, bonyeza na ushikilie kitufe cha nambari.
Lemaza upigaji haraka
Chagua
Menyu
>
Mipangilio
na
Upigaji simu
>
Upigaji haraka
.