Nokia C2 05 - Hifadhi jina na namba ya simu

background image

Hifadhi jina na namba ya simu
Chagua

Menyu

>

Majina

.

Chagua

Ongeza jipya

, na uingize namba na jina.

Ongeza au hariri maelezo ya mwasiliani

1 Chagua

Majina

na mwasiliani.

2 Chagua

Chaguzi

>

Ongezea maelezo

.

Kidokezo: Kuongeza toni ya mlio au picha kwa mwasiliani, chagua mwasiliani na

Chaguzi

>

Ongezea maelezo

>

Medianuwai

.