Nokia C2 05 - Vifaa vya kusaidia kusikia

background image

Vifaa vya kusaidia kusikia

Tahadhari:

Wakati unatumia kifaa cha kuvaa kichwani, uwezo wako wa kusikiliza sauti za nje unaweza kuathirika. Usitumie kifaa cha

kuvaa kichwani mahali ambapo kinaweza kuhatarisha usalama wako.

Baadhi ya vifaa visivyotumia waya vinaweza kuingiliana na baadhi ya vifaa vya kusaidia kusikia.