Nokia C2 05 - Piga simu ya dharura

background image

Piga simu ya dharura
1

Hakikisha kifaa kimewashwa.

2

Angalia kama kuna mawimbi ya simu ya kutosha. Huenda pia ukahitaji kufanya yafuatayo:

Ingiza SIM kadi.

Lemaza vizuizi vya simu ulivyoamilisha kwenye kifaa chako, kama vile uzuiaji simu, upigaji uliopangwa, au vikundi

maalum vya watumiaji.

Hakikisha mfumo wa angani umeamilishwa.

3

Bonyeza kitufe cha kukata kwa kurudia, hadi skrini kaya ionyeshwe.

4

Ingiza namba rasmi ya dharura ya eneo ulipo wakati huo. Namba za simu ya dharura hutofautiana kimaeneo.

5

Bonyeza kitufe cha kupiga simu.

6

Toa taarifa zote muhimu kwa usahihi kadri inavyowezekana. Usikate simu mpaka upewe ruhusa ya kufanya hivyo.

36

Maelezo ya bidhaa na usalama

background image

Muhimu: Amilisha simu zote za selula na za tovuti, kama kifaa chako kinakubali simu za tovuti. Kifaa kitajaribu kupiga

simu ya dharura kwa mitandao ya selula na kupitia mtoa huduma wako wa simu ya tovuti ikiwa zote zimeakishwa. Unganisho

katika hali zote haziwezi kuhakikishwa. Kamwe usitegemee kifaa chochote kisichotumia waya pekee kwa mawasiliano

muhimu kama dharura za tiba.