Nokia C2 05 - Linda kifaa chako dhidi ya vitu vyenye madhara

background image

Linda kifaa chako dhidi ya vitu vyenye madhara
Kifaa chako kinaweza kupata virusi na vitu vingine vyenye madhara. Chukua tahadhari zifuatazo:

Kuwa mwangalifu wakati wa kufungua ujumbe. Huenda zikawa na programu mbaya au yenye kudhuru kifaa au

kompyuta yako.

Kuwa mwangalifu wakati unakubali maombi ya muunganisho, unapovinjari tovuti, au kupakua yaliyomo. Usikubali

miunganisho ya Bluetooth kutoka kwenye vyanzo usivyoviamini.

Sakinisha na tumia huduma na programu kutoka vyanzo ambazo unaziamini tu na ambazo hutoa usalama na ulinzi.

Sakinisha kizuia virusi na programu zingine za usalama kwenye kifaa chako na kompyuta yoyoye iliyounganishwa. Tumia

tu programu tumizi moja ya kizua virusi kwa wakati mmoja. Kutumia zaidi ya moja huenda kukaathiri utendakazi na

utumizi wa kifaa na/au kompyuta.

Maelezo ya bidhaa na usalama

37

background image

Ikiwa unafikia vialamisho vilivyosakinishwa mapema na viungo kwa tovuti vya mhusika wa tatu, chukua tahadhari

zinazohitajika. Nokia haiidhinishi wala kutoa dhamana kwa ajili ya tovuti hizo.