Nokia C2 05 - Uchakataji upya

background image

Uchakataji upya
Daima rudisha bidhaa zako za elektroniki, betri na nyezo za kifurushi zilizotumiwa kwa maeneo maalum ya ukusanyaji. Kwa

njia hii utasaidia kuzuia utupataji taka usiodhibitiwa na kukuza uchakataji upya wa nyenzo. Kagua jinsi ya kuchakaa upya

bidhaa zako za Nokia kwenye www.nokia.com/recycling . .