
Huduma za mtandao na gharama
Kifaa chako kimeidhinishwa kwa matumizi na mitandao ya (E)GSM 900, 1800 MHz . Kutumia kifaa hiki, unahitaji kujiunga na
mtoa huduma.
Kutumia huduma za mtandao na kupakua yaliyomo kwenye kifaa chako uhitaji muunganisho wa mtandao na huenda
kukasababisha gharama ya trafiki ya data. Baadhi ya nduni za bidhaa uhitaji usaidizi kutoka kwa mtandao, na huenda ukahitaji
kujiunga.
34
Linda mazingira